top of page

Changamoto ya Covid-19


[English below] Sasa ni muda mgumu kwa wote duniani. Tumehuzunika sana kufunga madarasa zetu za kawaida kwa watoto. Tunajua imeumiza maisha mengi. Tunasubiri ushauri wa serikali ya mtaa, lakini tunatarajia kufungua tena haraka iwezekanavyo.

Licha changamoto, tunaendelea kusaidia jamii. Taasisi tumekumbana na changamoto nyingi tayari, hivyo tusisahau tuko pamoja. Tusipoteze mstari wa mawasiliano, viunganisho, na mahusiano. Tunawashukuru jamii kwa imani yao kwetu. Tunawaamini pia.

Kuna habari njema! Bila shaka, wewe mzazi, unaweza kumfundisha mtoto wako wenyewe nyumbani, hata kama huna smartphone, hata kama hujui kiingereza, hata kama haujaenda shuleni. Kama unaweza kusoma, inatosha kwa kuanza kufundisha. Wewe ni mtu mzima, menta wake wa kwanza, na umeshajifunza vitu vingi kuliko yeye katika maisha yako. Mtoto hukutazama wewe mzazi na hukuiga. Yaani, ukiposoma atasema “Naomba nisomea pia. Nijifunze nawe!” Mzazi ndiye mwalimu bora kwa mtoto, kwa sababu tayari mnapendana! Usijali, tunakusaidia hatua kwa hatua:

1. Tafuta mtandao. Kama una whatsapp, ingie kikundi chetu cha wazazi kupitia Katibu Madaam Neema. Kama huwezi kukopa smartphone au ukiwa na shida lolote, tujulishe, ile tuweze kupanga zamu yako maktabani.

3. Piga Mitaala. Tafuta darasa la mtoto wako.

4. Msaidie mtoto kukumilisha mazoezi daftarini/ukurasani

5. Piga "Pakia Mazoezi" (Tuma/Upload) kwa kamera ya simu

6. Jisomea mwenyewe kwa elimu yako.


[ENGLISH BELOW]


Now is a difficult time for people all over the world. We are so sad to close our regular classes for children. We know that this has hurt many lives. We are awaiting the advice of the local government but we expect to reopen classes as soon as possible.

Despite this challenge, we continue to serve the community. Our organization has overcome many challenges, so let’s not forget we are together. Let’s not lose the thread of communication, connection, and relationships. We want to thank the community for your continued belief in us. We believe in you too.

There is good news! Without a doubt, you the parent can teach your own child at home, even if you don’t have a smartphone, even if you don’t know English, even if you don’t have means, even if you have not gone to school. If you can read, it’s enough to start teaching. You the parent are an adult, her first mentor, and you have already learned more things than her in your life. A child watches you and copies you. If you read, he will beg “Read to me! May I learn also?”  A parent is indeed the best teacher for a child, because you already love each other! Don’t worry, we will help you step by step:

1. Find Internet. If you have whatsapp, enter our group through Secretary Neema. If you can't borrow a smartphone, or if you have any problem, let us know so we can plan your turn in the library. 

2. Come to  Our Website, choose your language, and click "na piga "For Parents". You will see books, News/Blog, Parents' lettersfree education websites, and lessons for our students

3. For Online Classes click Curriculum. Search for the class of your child's class using the dropdown menu.

4. Help your child to complete the exercises on notebook/paper.

5. Click on "Upload Homework" (Tuma/Upload) using your phone camera. Fill the form with your child's name, class, and any comments or questions you have. Then click "Submit"


Comments


bottom of page