Ni kweli watu wengi wanayomaarifa yaubunifu ila wanabaki nao bila kuufanyia kazi kwasababu ya hofu. Hofu yakudhubutu kuuonyesha ubunifu wake kwakuogopa kuchekwa,kukosolewa hata kukatishwa tamaa na wasiojua.
Kwa maoni yangu, wanadamu wote huzaliwa na ubunifu, lakini kwa wengi, ubunifu hupotezwa shuleni. Sikuzote na vipindi vyovyote, ubunifu hutakiwa kwa ajili ya kutatua matatizo ya maisha. Kwa kiingereza husema “Necessity is the mother of invention” maana “Mahitaji ni mama ya ubunifu.” Ubunifu ni asili ya wanadamu tangu zamani, kama tangu mababu yetu walipoanza kutengeneza zana za mawe kama zile tulizotafuta Olduvai, Amos!Ninapowaangalia watoto jirani nje/baada ya shule, nimeona watoto hutumia ubunifu mno katika michezo yao. Hivyo, kama ubunifu ni asili ya watoto wote, swali letu ni hili: Kwanini watoto hupoteza ubunifu wao shuleni? Sijui lakini nadhani, changamoto shuleni ni woga. Mwalimu huzingatia jibu moja sahihi kwa kitabu chake, na huwambia watoto “Kamilishe kama hivi.” Wanafunzi wangejaribu kufanya kwa njia tofauti bunifu, wangepigwa. Mwalimu awe mfano wa kuiga wa ubunifu. Kama Biblia inasema, “Lazima mwanga wenu uangaze mbele ya watu.” Nafikiri watoto wakipopunguza hofu/aibu zao shuleni kwa mahusiano chanya, ubunifu wao utafunuliwa shuleni kama jirani.
Ni kweli watu wengi wanayomaarifa yaubunifu ila wanabaki nao bila kuufanyia kazi kwasababu ya hofu. Hofu yakudhubutu kuuonyesha ubunifu wake kwakuogopa kuchekwa,kukosolewa hata kukatishwa tamaa na wasiojua.
Kwa maoni yangu, wanadamu wote huzaliwa na ubunifu, lakini kwa wengi, ubunifu hupotezwa shuleni. Sikuzote na vipindi vyovyote, ubunifu hutakiwa kwa ajili ya kutatua matatizo ya maisha. Kwa kiingereza husema “Necessity is the mother of invention” maana “Mahitaji ni mama ya ubunifu.” Ubunifu ni asili ya wanadamu tangu zamani, kama tangu mababu yetu walipoanza kutengeneza zana za mawe kama zile tulizotafuta Olduvai, Amos! Ninapowaangalia watoto jirani nje/baada ya shule, nimeona watoto hutumia ubunifu mno katika michezo yao. Hivyo, kama ubunifu ni asili ya watoto wote, swali letu ni hili: Kwanini watoto hupoteza ubunifu wao shuleni? Sijui lakini nadhani, changamoto shuleni ni woga. Mwalimu huzingatia jibu moja sahihi kwa kitabu chake, na huwambia watoto “Kamilishe kama hivi.” Wanafunzi wangejaribu kufanya kwa njia tofauti bunifu, wangepigwa. Mwalimu awe mfano wa kuiga wa ubunifu. Kama Biblia inasema, “Lazima mwanga wenu uangaze mbele ya watu.” Nafikiri watoto wakipopunguza hofu/aibu zao shuleni kwa mahusiano chanya, ubunifu wao utafunuliwa shuleni kama jirani.