top of page
Neema Mghase

Neema Mghase

Neema is our backbone, since she came to us in 2015. She also teaches Computer Skills, in addition to her responsibilities as the secretary. If you have any questions about our center, please contact Neema by email.

The goals in accordance with [my students'] age is to self determination in their lives to employ themselves, and even going with gloablization.

Neema ni uti wetu, tangu alikuja kwetu, mwaka 2015. Anafundisha stadi ya kompyuta pamoja na majekumu yake kama katibu. Kama una maswali juu ya kituo chetu, siliana naye kwa barua pepe.

Malengo kulingana na umri wa [wanafunzi wangu] ni kuweza kujikwamua kimaisha kwa kujiajiri pia hata kuendana na utundawazi

bottom of page