top of page
Irene Ernest

Irene Ernest

Irene focuses on early child development and loves teaching through songs. She holds a certificate of Nursery Education/English Medium from Zion College and has also taught at St. Paul's and Nazareth elementary schools. Here at Elimu Yetu Irene is known as a compassionate mentor.

First, children should be able to love the lesson they are learning.

Irene huzingatia maendeleo ya wadogo. Anapenda kufundisha kupitia nyimbo. Ana certificate katika Nursery tokana Chuo cha Zion, na alikuwa alifundisha kabla kwenye shule za misingi St. Paul's na Nazareth. Hapa Elimu Yetu, watoto wanamjua kama menta wa hurumu.

Kwanza watoto waweze kulipendo somo wanalojifunza.

bottom of page